HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 26, 2014

TASWIRA MBALI MBALI ZA VIDEO MPYA YA CHEGE NA TEMBA

Wasanii wa Muziki wa Kizazi kipya kutoka TMK Wanaume Family,Temba na Chege wakiwa ndani ya ndege wakati wakiendelea Kurekodi Video yao mpya ambayo itatoka hivi karibuni.
Sehemu ya Wadau wa Muziki wanaoshiriki kwenye video hiyo ni pamoja na Julio,Madee na Jokate kama wanavyoonekana pichani hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad