Private Brian Salva Rweyemamu
Bwana Salvatory Rweyemamu wa Kinondoni Dar es Salaam, anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake mpendwa Private Brian Salvarory Rweyemamu aliyefariki alfajiri ya kuamkia leo tarehe 15 Mei,2014 katika hospitali ya Jeshi Lugalo alipokuwa akitibiwa.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa Bwana Salvatory Rweyemamu Kinondoni jirani na Vijana (Mango Garden).
Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki walioko Dar es Salaam, Kagera, Malawi, Afrika Kusini, Uingereza na Canada.
poleni familia ya Mr. Salva Rweyemamu kwa msiba huu mkubwa. Mungu awajalie faraja
ReplyDeletepoleni familia ya Mr. Salva Rweyemamu kwa msiba huu mkubwa. Mungu awajalie faraja
ReplyDelete