Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Six Telecoms Limited, Rashid Shamte akizungumza katika uzinduzi wa mtandao wa Virtual Private Network (VPN) kwa kushirikiana na kampuni maarufu ya mawasiliano duniani, Tata Communications. Mtandao wa VPN utawawezesha wafanyabishara nchini kukamilisha shughuli zao za kibiashara hapa nchini bila ya kuvuka mpaka.
Mwakilishi Mkuu wa kampuni ya Tata Communications kanda ya Afrika, Steven Van der Linde akizungumza katika uzinduzi wa mtandao wa Virtual Private Network (VPN) kwa kushirikiana na kampuni maarufu ya mawasiliano duniani, Tata Communications. Mtandao wa VPN utawawezesha wafanyabishara nchini kukamilisha shughuli zao za kibiashara hapa nchini bila ya kuvuka mpaka.
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Six Telecoms Limited, Rashid Shamte akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa mtandao wa Virtual Private Network (VPN) kwa kushirikiana na kampuni maarufu ya mawasiliano duniani,kulia ni mwakilishi wa kampuni ya Tata Communications kanda ya Afrika, Steven Van der Linde.
Mwakilishi wa kampuni ya Six Telecoms Limited, Daniel Seyoun akielezea mafanikio ya kampuni yao katika sekta ya mawasiliano ya Tehama nchini na nini watanzania watafaidika baada ya kuzindua mtandao mpya wa Virtual Private Network (VPN) ambao imeingia nchini kwa mara ya kwanza. Kulia ni Mwakilishi Mkuu wa kampuni ya Tata Communications Kanda ya Afrika, Steven Van der Linde.
No comments:
Post a Comment