HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 18, 2014

Shahada Ibrahim alivyoyafurahia mahafali yake ya kwanza

Dada Shahada Ibrahim (wa tatu kulia) akiwa na Wahitimu wenzake wa Ualimu kwa ngazi ya Cheti wakirusha kwa pamoja kofia zao juu mara baada ya kula Nondozz zao katika Chuo ya Ualimu cha Mtakatifu Rock kilichopo Wilayani Korogwe,Mkoani Tanga,ikiwa ni mahafali ya Nane ya chuo hicho ambayo yalifanyika jana Mei 17,2014 Chuoni hapo.
Ankal Shahada Ibrahim akipozi na Wahitimu wenzake.
 Shahada Ibrahimu akiwa ni mwenye furaha tele baada ya kulamba Nondozz yake hiyo aliyoisotea kwa miaka mibeee...
 Shahada akiongezwa na Ankal wake Ismail.
 Ba'Mdogo Itami akimvalisha vizuri kofia Mhitimu Shahada.
 Mama Mkubwa wa Shahada akimpongeza kijana wake kwa kulamba Nondozz yake hiyo.
 Mama Mzazi wa Shahada,akimpongeza mwanae huku wote wakiwa na furaha tele.
 Mama akiiweka sawa kofia ya Mwanae.Nani kama Mama??
 Mama Mkubwa Margerth akimpongeza Shahada.
 Dada Mwamvita na Shahada. 
Dada Amina akipiga konozz na Mdogo wake Kipenzi Shahada. 
 Keki ya pongenzi
 Dada Fatna akiwa kashika keki huku Shahada akiikata kwa utaratibu,tayari kwa kuwalisha ndugu jamaa na marafiki.
Kaka akisaidia zoezi la kukata keki.
 Picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad