Shughuli ya kuaga mwili wa aliekuwa muigizaji na muongozaji wa filamu hapa nchini,Marehemu Adam Kuambiana inaendelea hivi sasa kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.Marehemu kuambiana anatarajiwa kuzikwa leo hii kwenye Makaburi ya Kinondoni hapa hapa jijini Dar.
Tuesday, May 20, 2014

Home
Unlabelled
SAFARI YA MWISHO YA MUIGIZAJI WA FILAMU,MAREHEMU ADAM KUAMBIANA
SAFARI YA MWISHO YA MUIGIZAJI WA FILAMU,MAREHEMU ADAM KUAMBIANA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment