HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 23, 2014

NDOVU SPOTLIGHT ILIVYONOGA KATIKA HOTELI YA SERENA JIJINI DAR

Mwongoza maada wa usiku wa NdovuSpotlight, Gloria Mangi(kushoto) akiongoza maada wakati wa mdahalo kwa wadau mbalimbali uliofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana.Kushoto ni mmiliki wa website, Laura Lyabandi na Mkurugenzi wa Kampuni ya Vinjari, Andrew Mbona.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania(TBL), Fimbo Butallah(kutoka kulia),Meneja wa Bia ya Ndovu, Pamela Kikuli na Meneja wa Bia ya Castle Lite, Geofrey Makau wakifuatilia maada wakati wa mdahalo wa usiku wa NdovuSpotlight uliofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana.
Meneja wa kinywaji cha Redd’s, Victoria Kimaro(kutoa kushoto), Meneja wa Bia ya Castle Lite, Geofrey Makau, Meneja wa Bia ya Ndovu, Pamela Kikuli na Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania(TBL), Fimbo Butallah wakifuatilia maada wakati wa mdahalo wa usiku wa NdovuSpotlight uliofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana.
Baadhi ya Wadau wakifuatilia maada wakati wa usiku wa NdovuSpotlight uliofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana.
Mchekeshaki, Evance Bukuku (kulia) akichangia maada wakati wa usiku wa NdovuSpotlight uliofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana.
Wadau mbali mbali wakifuatilia maada wakati wa usiku wa NdovuSpotlight uliofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana.
Meneja wa Bia ya Castle Lite, Geofrey Makau(kushoto) akiwa na wadau wakipata vitafunwa mara baada ya mdahalo wa usiku wa NdovuSpotlight uliofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana.
Mwongoza maada wa usiku wa NdovuSpotlight, Gloria Mangi(kulia), mmiliki wa website, Laura Lyabandi(kushoto) na Mkurugenzi wa Kampuni ya Vinjari, Andrew Mbona wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mdahalo wa usiku wa NdovuSpotlight uliofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad