HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 19, 2014

MOTO WATEKETEZA NYUMBA ENEO LA MAKUNGURU JIJINI MBEYA

Wakazi wa eneo la Makunguru jijini Mbeya wakiwa wamesimama nje nyumba iliopo kwenye eneo hilo ambayo imepatwa na dhahma ya kuungua moto na kuteketea kwa mali zote zilizokuwemo ndani ya nyumba hiyo,kutokana na hitilafu ya umeme iliyojitokeza.haijadhibitika mpaka sasa kama kuna mtu yeyote aliedhulia kwenye tukio hilo lililotokea mchana wa leo jijini humo.
Sehemu ya mali zilizokuwemo kwenye nyumba hiyo zikiwa zimeteketea zote kwa moto huo.
Majirani wakiangali kupitia dirishani kuona namna moto ulivyoteketeza mali zilizomo kwenye nyumba hiyo.
Wengine walikuwa wakihadhithiana namna kila mmoja alivyoshuhudia tukio hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad