HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 7, 2014

mbonji la mchana lilivyowanogea jamaa hawa

 Kamera ya Mtaa kwa Mtaa katika pita pita zake za kila siku,liliweza kuibuka maeneo ya Faya Kariakoo,jijini Dar na kuinasa taswira hii ya wazee wa kazi wakitabaruku kwa mbonji mwanana kabisa,chini ya kibambaza cha kituo cha mabasi yaendayo kasi kilichopo kwenye eneo hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad