HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 30, 2014

MABADILIKO YA TAREHE YA KONGAMANO LA NNE LA KITAIFA LA MAKATIBU MUHTASI

MWENYEKITI PAMOJA NA KAMATI YA MAANDALIZI YA CHAMA CHA  MAKATIBU MUHTASI TANZANIA  (TAPSEA) – TUNAPENDA KUWAJULISHA WANACHAMA NA WADAU WOTE KUWA  KUTOKANA NA SABABU AMBAZO ZIKO JUU YA UWEZO WETU TAREHE YA KONGAMANO IMEBADILIKA.  

KONGAMANO HILO SASA LITAFANYIKA TAREHE 10 – 12  JULY,  2014 KATIKA UFUKWE WA MALAIKA –  JIJINI MWANZA.

GHARAMA ZA USHIRIKI NI SHILINGI 300,000/=(LAKI TATU TU) KWA MWANACHAMA NA SHILINGI 350,000/= (LAKI TATU NA NUSU) KWA ASIYE MWANACHAMA.  LIPA KUPITIA AKAUNTI NAMBA. 0150031411800 CRDB BANK AZIKIWE NAMBA 2236600363 NMB BANK HOUSE NA UWASILISHE STAKABADHI ZA MALIPO KATIKA OFISI ZA TAPSEA. 

HAKIKISHA UNAPOLIPIA BANK ANDIKA JINA LAKO NA JINA LA TAASISI UNAYOTOKA KWENYE STAKABADHI.

OFISI YA TAPSEA HAITAPOKEA FEDHA TASLIMU.  TAREHE YA MWISHO KUPOKEA  WASHIRIKI NI 30 JUNI, 2014. KWA MAWASILIANO PIGA SIMU NAMBA 2127464/0784/0655 783 110, 0754 919 379 NA 0718 477 743 AU EMAIL: info@tapsea.or.tz

TUNAWAOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE ULIOJITOKEZA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad