Waziri wa Ulinzi Dkt. Hussein Mwinyi akihotubia katika maadhimisho ya siku ya walinda Amani wa Umoja wa Mataifa yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
|
Dkt. Mwinyi akiweka Shada katika mnara wa Mashujaa kuashiria kuwakumbuka walindaamani waliopoteza maisha duniani kote.
|
Mabalozi mbalimbali wanao ziwakilisha Nchi zao hapa nchin nao walihudhuria maadhimisho hayo
|
Waziri waulinzi Dkt. Mwinyi akiagana na mabalozi waliohudhuria maadhimisho hayo
|
Dkt. Mwinyi akiagana na walinda Amani mara baada ya kumalizaka kwa sherehe hizo
|
Waziri wa Ulinzi akiongea na waandishi wa habari.Picha na Hassara Kilalika
|
No comments:
Post a Comment