HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 7, 2014

KATIBU MKUU WA CCM KUANZA ZIARA YA SIKU 26 MIKOA YA TABORA, SINGIDA NA MANYARA

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye  akiwa na baadhi ya waandishi wa habari watakaoungana na Katibu Mkuu wa CCM, Andulrahman Kinana, katika ziara ya siku 26 katika mikoa ya Tabora, Singida na Manyara itakayoanza kesho katika jimbo la Igunga mkoani Tabora. Nape alipigapicha na na waandishi hao leo baada ya kuzungumza nao kuhusu ziara hiyo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba , Dar eSalaam. Kulia na kushoto ni baadhi ya magari maalum yatakayotumiwa na waandishi hao.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad