Mwenyekiti wa Baraza, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, akitoa hotuba ya utangulizi kabla ya Mkuu wa mkoa wa Pwani, B. Mwantumu Mahiza hajafungua rasmi Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Uchukuzi, lililofanyika mjini Bagamoyo katika hoteli ya Millenium Beach Resort, leo asubuhi.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Bi. Mwantumu Mahiza akitoa hotuba wakati akifungua Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Uchukuzi, lililofanyika mjini Bagamoyo, leo asubuhi katika Hoteli ya Millenium Beach Resort.
|
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Bi. Mwantumu Mahiza (wa nne kutoka kulia waliokaa), akiwa katika picha ya Pamoja na wajumbe wa baraza la wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi, mara baada ya kulifungua katika Hotel ya MIllenium Beach Resort, mjini Bagamoyo, leo asubuhi. Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-UCHUKUZI
No comments:
Post a Comment