Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Seif Suleiman Rashid akipata maelezo wakati alipotembelea banda la malaria safe lililokuwa linasimamiwa na wafanyakazi wa Johnhopkins University kwenye maonyesho ya siku ya malaria nchini yaliyofanyika mwishoni mwa wiki,jijini Dar es salaam.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Seif Suleiman Rashid alipotembelea banda la NMCP kwenye maonyesho ya siku ya malaria jijini mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi
wa kampuni ya Frontline Porter Novelli Bi. Irene Kiwia akimkaribisha
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Suleiman Rashid kwenye
maonyesho ya siku ya malaria yaliyofanyika jijini Dar es salaam mwishoni
mwa wiki.
Wafanyakazi wa Tanzania Breweries Limited (TBL) wakiwa kwenye banda lao kuhamasisha kupambana na ugonjwa wa malaria nchini.
Wafanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi Zantel wakiwa kwenye banda lao.
No comments:
Post a Comment