Kamera ya Mtaa kwa Mtaa,ilibahatika Kumnasa kijana huyu Mkazi wa Maeneo ya Mlandizi,Mkoani Pwani akiwa amejibunia kofia yake ya kujikinga na ukali wa Jua ,aliyoitengeneza kwa kutumia Maboksi.
No comments:
Post a Comment