Mkuu wa idhaa ya Kiswahili ya VOA Mwamoyo Hamza akiwa na Mh.balozi wa Tanzania Washington Dc na Mexico Liberata Mula mula alipotembelea idhaa hiyo Jumatano Machi 12, 2014.Kushoto Mkamiti Kibayasi, akiwa na Mh.balozi Liberata Mula mula na Khadija Riyami katika ofisi za idhaa ya Kiswahili ya VOA.Mh.balozi Liberata Mula mula akijibu maswali katika mahojiano maalum na Idhaa ya Kiswahili ya VOA.Khadija Riyami akimhoji balozi Mula mula.Sunday Shomari na Mh.balozi Mula mula na Khadija Riyami.Mh.balozi Mula mula na Prodyuza wa VOA Duane Collins.Mtangazaji maarufu wa "Straight Talk Afrika" VOA-TV Shaka Ssali akiagana na Mh.balozi baada ya mahojiano yake aliyofanya kwa upande wa radio na TV huku akisindikizwa na Khadija Riyami,Mwamoyo Hamza na Mkamiti Kibayasi.Picha na Mdau Sunday Shomari
No comments:
Post a Comment