HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 4, 2014

RAIS KIKWETE KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MA-BLOGGER,NDUGU KINANA MPIGA PICHA

 Mwenyekiti wa wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya pamoja na ma-bloggers wakubwa wa Tanzania wakati wa kiadhimisha sherehe za miaka 37 za uhai wa CCM uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Picha hii imepigwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahmana Kinana hapo chini...

1 comment:

  1. viongozi wetu ni watu wa kawaida sana yaani wako karibu na wananchi hili halinishangazi kabisa mh Kinana akipiga picha!!! Mungu awabariki!! kazi njema Ma blogger wetu!!

    ReplyDelete

Post Bottom Ad