HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 25, 2014

HIVI ULE UTARATIBU WA KUZUIA WATU KUCHIMBA DAWA HOVYO HOVYO,HAUTUMIKI HAPA DAR??

 Katika pita pita zangu za kuendeleza libeneke la Mtaa kwa Mtaa,nilibahatika kumnasa mdau huu katika maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam akichimba Dawa (kujisaidia haja ndogo) huku akiwa hana noma wala nini tena mchana kweupeeeee.Sasa hapo ndipo nilipojiliza kuhusu ule utaratibu wa kupiga marufuku vitendo vya namna hii,kwamba vinatumia mikoani tu??

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad