Mratibu wa Shindano la Redd's Miss Ilala 2013,Juma Mabakila (katikati waliokaa) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam (hawapo pichani), wakati akitangaza zawadi watakazopewa washindi wa shindano hilo litakalofanyika leo kwenye Ukumbi wa Golden Jubilee jijini Dar es Salaam.
Friday, August 16, 2013
Home
Unlabelled
Mrembo wa Redd's Miss Ilala kujulikana leo ndani ya Ukumbi wa Golden Jubilee jijini Dar
Mrembo wa Redd's Miss Ilala kujulikana leo ndani ya Ukumbi wa Golden Jubilee jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment