Bokhe akikata keki kama ishara ya kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake katika hafla fupi ya chakula cha jioni iliyofanyika Kebbys Hotel Mwenge jijini Dar es salaam jana ambapo alijumuika na marafiki zake pamoja na baadhi ya ndugu zake.
Hapa akimlisha keki rafiki yake Sinta
Hapa akimlisha keki ndugu yake Getu
Akimlisha keki ndugu yake Winnie
Wednesday, August 28, 2013
Home
Unlabelled
MDAU BOKHE ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA KWAKE
MDAU BOKHE ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA KWAKE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment