HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 19, 2013

KAMATI ZA BUNGE ZAENDELEA NA KAZI ZAKE KWA WIKI YA PILI SASA JIJINI DAR

Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Zitto Kabwe (Mb) akikisitiza jambo kwa ujumbe kutoka Hazina wakati wa kikao cha kamati ya PAC na watendaji kutoka Hazina.
Mjumbe wa kamati ya Bunge ya PAC Mhe. Gaudensi Kayombo akifafanua jambo mbele ya watendaji wa Hazina wakati wakikao na Kamati hiyo.
Naibu katibu Mkuu Hazina Bi. Elizabeth Nyambibo akijibu baadhi ya hoja zilizotolewa na wajumbe wa kamati ya Bunge ya PAC kujadili masalwa mbalimbali ya utendaji wa wizara hiyo walipokutana na kamati hiyo leo.
Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali LAAC Mhe.Rajaab Mbarouk Mohamed akiongoza kikao cha kamati hiyo leo ilipokutana kujadili Hesabu za Manispaa ya Arusha wakati wa Vikao vya Kamati vinavyoendelea Jijini Dar Es Salaam. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Seleman Zedi na Katibu wa Kamati hiyo Dickson Bisile.
Wajumbe wa Kamati ya LAAC wakifuatilia kikao kwa makini.
Mjumbe wa Kamati ya LAAC Mhe. Yusufu Nasir akiuliza swali kwa watendaji wa Manispaa ya Arusha wakati wa vikao vya Kamati ya Bunge ya LAAC jijini Dar leo. Picha zote na Owen Mwandumbya.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad