HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 20, 2013

JESHI LA POLISI JIJINI DAR LAFANIKIWA KUKAMATA VITU MBALMBALI KATIKA OPERESHENI KALI DHIDI YA WAHALIFU

Kamanda wa Polisi kanda Maalum Dar es salaam,Kamishna Suleiman Kova akiongea na waandishi wa habari leo Ofisini kwake jijini Dar es salaam,kuhusu Operesheni kali iliyofanyika jijini Dar dhidi ya wahalifu wanaotumia silaha,dawa za kulevya ,tindi kali na kufanikisha kukamata vitu mbalimbali vikiwemo bangi gunia kumi,pamoja na watuhumiwa 231,pombe haramu aina ya gongo lita 187,puli za misokoto 148,pamoja na Trasnsfomer mali ya shirika la umeme (TANESCO TANZANIA).
Kamanda wa Polisi kanda Maalum Dar es salaam,Kamishna Suleiman Kova akiwaonyesha waandishi wa habari,gari mali ya kapuni ya umeme (TANESCO TANZANIA) likiwa na Trasnsfomer lilokamatwa kwenye Operesheni hiyo.
Kamanda wa Polisi kanda Maalum Dar es salaam,Kamishna Suleiman Kova akiwaonyesha waandishi wa habari,vitu mbalimbali vilivyokamatwa kwenye Operesheni hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad