HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 9, 2013

WAKAZI WA ARUSHA WAPATIWA HUDUMA YA KUSIKIA, NI MSAADA KUTOKA KWA SHIRIKA LA HEARING FOUNDATION LA MAREKANI

Wakazi wa Arusha wakisubiri kupimwa masikio na kupatiwa kifaa cha kuwasaidia kusikia
Madaktari kutoka Hearing Foundation wakimwekea mtoto kifaa cha kusikia
Kiongozi wa madaktari hao akitoa maelekezo ya kazi kwa vijana alioongozana nao kwa ajili ya kusaidia zoezi la utoaji wa huduma hiyo katika hospitali ya Seliani jijini Arusha
Akiendelea kutoa maelekezo muhimu
Mmoja wa wagonjwa akiwekewa kifaa cha kusikilizia
mchezaji bora wa mchezo wa rugby nchini Marekani akimpatia mtoto aliyekwisha patiwa kifaa cha kumsaidia kusikia fulana kama zawadi.picha na woinde shizza,arusha

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad