Wafanyabiashara ndogo ndogo eneo la Mombo Mkoani Tanga,wamejiwekea utaratibu mzuri sana kwa Biashara zao kwani wameamua kubuni
utaratibu wa kuvaa zare na zenye namba ili kimrahisishia mteja kujua
mtu aliemuhudumia hata kama inatokea ametoeka katika mazingira ya
kutatanisha inakuwa ni rahisi kutambulika.
Wednesday, July 10, 2013
Home
Unlabelled
Utaratibu waliojiwekea wamachinga wa Mombo Mkoani Tanga ni Mzuri na Unafaa kuigwa na wengine
Utaratibu waliojiwekea wamachinga wa Mombo Mkoani Tanga ni Mzuri na Unafaa kuigwa na wengine
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment