Juzi kati hivi huko mitaa ya Moshi,Kamera yetu ilibahatika kupata Taswirazz ya Kumeremeta kwa Mtoto wa Kibopa Mmoja mjini humo,ambapo kiukweli kabisa kumeremeta huki kulikuwa ni kwa aina yake hasa pale gari la maharusi lilipokuwa nikilinda na watu waliokuwa wakitukia usafiri wa Farasi.
Ilikuwa ni Gumzo mjini hapo.



No comments:
Post a Comment