HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 12, 2013

SHIMO LA HAJA KATIKATI YA BARABARA

mfereji unaopitisha maji ya mvua uliopo katika barabara ya Jamaa jirani na barabara ya nane Jijini Tanga, sasa ni miezi mitano ukiwa haujujatengenezwa na hivyo kusababisha magari, pikipiki na baiskeli kupita kwa tabu. (Picha na Mashaka Mhando,Tanga)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad