HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 17, 2013

SEMINA YA MEYA, WENYEVITI WA WILAYA YAFANYIKA JIJINI ARUSHA

 Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Bw. Mwanga Ekzaudi ambaye ndio alikuwa mgeni rasmi katika Semina hiyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
 Kutoka kulia ni Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Bw. Mwanga Ekzaudi (Mgeni rasmi) na Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali Msaidizi Bw. Constantine Mashoko wakipiga makofi katika ufunguzi huo.
 Wadau wa Semina hii wakisikiliza kwa makini hoja zilizokuwa zinatolewa. 
Watoa mada katika semina hiyo, kutoka kushoto ni Mkaguzi wa Ndani Chuo Kikuu cha Mzumbe Bw. Barikiel Nkinda, Mkaguzi Mkuu wa Ndani Tume ya Pamoja ya Fedha Bw. Cassim Mambo na Mkaguzi Mkuu wa Ndani Mradi wa Mabasi yaendayo kasi (DART) Bw. Alphonce Muro.
 Baadhi ya Sekretarieti ya maandalizi ya mkutano huo wakifanya mapitio ya mada ambazo ziliwasilishwa katika semina hiyo kutoka kushoto ni Bw. Elikira Mathew, Bi. Lightness Mality pamoja na Bi. Wapheba Setembo.
Mkaguzi Mkuu Mwandamizi Manispaa ya Moshi Bw. Raphael Mseja ambae ni mjumbe wa semina hiyo katika mahojiano na waandishi wa abari.
 Baadhi ya wajumbe walioshiriki kwenye semina hiyo katika picha ya pamoja. 
 Sekretarieti katika picha ya pamoja na mgeni rasmi katika semina hiyo.Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini – Wizara ya Fedha.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad