Washiriki wa shindano la Redd's Miss Tanga 2013 wakiwa katika mapango ya Amboni jijini Tanga ikiwa ni sehemu ya kutangaza utalii uliopo katika mkoa wa Tanga.Shindano lao litafanyika katika uwanja wa Mkwakwani Mjini Tanga siku ya Ijumaa Juni 22,2013.
Ziara ikiendelea ndani ya mapango hayo,ambapo waliweza kujionea mambo mbali mbali ya kihistoria.
Warembo wakiwa kwenye picha ya pamoja ndani ya Mapango hayo.
Washiriki wa shindano la Redd's Miss Tanga 2013 wakiwa nje ya mapango ya Amboni jijini Tanga ambako walitembelea ikiwa ni sehemu ya kutangaza utalii uliopo katika mkoa wa Tanga.Shindano lao litafanyika katika uwanja wa Mkwakwani Mjini Tanga siku ya Ijumaa Juni 22,2013.
No comments:
Post a Comment