HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 18, 2013

ONA WABUNGE IDD AZAN, HALIMA MDEE WAKIJIFUA KUWAKABILI WOLPER NA JB KWENYE TAMASHA LA MATUMAINI

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na Idd Azan ambaye ni Mbunge wa Kinondoni, wameanza kujichua kwa ajili ya mapambano yao ya ndondi katika Tamasha la Matumaini 2013 litakalofanyika Julai 7 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Halima Mdee atazipiga na Jacqueline Wolper wakati Idd Azan akionyeshana ubabe na Jacob Steven 'JB'
(Picha na Luqman Maloto /GPL, DODOMA)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad