HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 3, 2013

Mwili wa Msanii Albert Mangwea kuwasili nchini kesho

Wadau wa Afrika Kusini wakiwa katika harakati za kuusafirisha mwili wa msanii wa kizazi kipya aliyefariki Dunia huko nchini Afrika ya Kusini hivi karibuni,marehemu  Albert  Mangwear jioni hii huko  Johannesburg, Afrika Kusini. Ratiba zinaonesha mwili huo utawasili kesho jijini Dar es salaam. Muda na ratiba kamili zitafuata punde.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad