HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, June 2, 2013

Mnuso wa Mwanalibeneke Shamim Mwasha na Abdul ni gumzo la Jiji

 Mwanamuzjiki Mkongwe nchini,Lady Jay Dee a.k.a Bint Komando akitumbuiza jukwaangi wakati wa hafla ya mnuso wa kumeremesha Mwanalibeneke Shamim Mwasha na Mumewe Abdul iliyofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam.
 Maharusi,Shamim Mwasha (kuli kulia) na Mumewe Abdul (katikati) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Wadau waliofika kwenye mnusho huo.
 Ankal Khamsin na Mamaa wa Mitindo Asia Idarous Khamsin wakiwa na Mdau Cathbert Angeno kwenye mnuso huo uliofanyika usiku wa kuamia leo kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar.
 Ankal Khamsin na Mamaa wa Mitindo Asia Idarous Khamsin wakishoo love na Mie.
 Mie na Dada Sabah Kiobya tukiwa kwenye picha ya pamoja na Maharusi.
 Maharusi katika picha ya pamoja na Ankal Khamsin na Mama wa Mitindo,Asia Idarous Khamsin.
 Warembo wa mji wakiolishambulia jukwaa vilivyo kwa mangoma makali ya OldSkol toka kwa DJ Peter Mo. 
 Hapa ni mwendo wa Sebene za hatariiiiii.....
 Mie (kati) nikiwa na Mwanalibeneke Jestina George (kulia) na Hawa Mkamba.
 Cathbert Angelo,Jestina George na Hawa Mkamba ndani ya Zulia Jekundu.
 Bi. Harusi na Mashost wake.
 Mie na Maharusi kwenye Zulia Jekundu.
 Cathbert Angelo na Maharusi.
 Mambo ya Shoo Love. 
 Mie na Mrembo Jokate Mwegelo.
 Mie na DJ Peter Mo.
 Mie na Cathbert Angelo.

14 comments:

  1. Hongeza Shamim na Abdul,ila picha nyingi zinaonesha maharusi hamna furaha>curious

    ReplyDelete
  2. shamim and hubby mlikuwa na matatizo gani mbona mlikuwa unhappy? is your day mammy.

    ReplyDelete
  3. hongera shamim, naku support ulietangulia. maarusi hawakua na furaha, hawakuchangamka siku yao muhimu, kama vile hawakujitaarisha vizuri. PAMOJA NA YOTE INSHALLAH MUNGU ATAJAALIE NDOA YENU IDUMU.

    ReplyDelete
  4. Mdau hapo juu, umeona eeeh. Halafu kama mtu asipokwambia kuwa ni harusi huwezi jua kama ni harusi. Au mie ndo macho yangu yana matege!!!! #JustAsking#

    ReplyDelete
  5. mbona dada umekonda sanaa mpaka nimekusahau wasingeweka jina ningejua ni mdogo wako,ndoa ya kwanza ilikuwaje?

    ReplyDelete
  6. Hihi wanatafakar maisha na maneno ya mujini yaliyoenea kwamba bwana haruc anuza"Sembe",,shamim is guilty

    ReplyDelete
  7. hongereni sana maharusi. ila mie naona event ilikuwa busy sana, ma-celebrity mngejaribu kufanya events zenu za arusi ziwe simple tu mambo ya kuiga haya sometimes yanakuwa stressful mnajikuta siku ya arusi nyuso zimewachambuka

    ReplyDelete
  8. ama kweli u-super star kazi kweli kweli.

    ReplyDelete
  9. jamani mwenzenu nina swali kwani hii ni ndoa ya ngapi kwa Shamim kumbukumbu zangu ni kama vile alishwahi kuwa na mume au walikuwa bado hawajahalalisha? ndio wamehahrarisha sasa?

    ReplyDelete
  10. No lets hope ni rummors jmn shamim doesn't deserve such type of a guy she is decent

    ReplyDelete
  11. jamani acheni kumnanga mwenzenu kwani kuolewa kwake ni tatizo kwa wengine?? na huyo anayesema mume aliemuowa hamfai wewe wa kwako yupo wapi au umemtamani ukute hata wa kukukwambi hujambo hauna LOL

    ReplyDelete

Post Bottom Ad