HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 5, 2013

Marehemu Albert Mangwea aagwa leo viwanja vya leader club,kinondoni jijini Dar

 Waombolezaji wa Msiba wa Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Marehemu Albert Mangwea waliokuwa wamejitokeza kwa wingi kwenye viwanja Leader s kwa ajili ya kuaga,wakielekea kwenye gari maalum la kubeba mwili Marehemu Mangwea tayari kwa Safari ya kwenda Mkoani Morogoro kwa Mazishi ambayo yatafanyika kesho Alhamisi.
 Mwili wa Marehemu Mangwea ukiingizwa kwenye gari.
 Msafara ukiondoka kwenye viwnja vya Leaders,Kinondoni Jijini Dar tayari kwa safari ya kuelekea Mkoani Morogoro kwa Mazishi.
Taratibu za kuaga zikiendelea.

PICHA NA VIDEO ZA MSIBA HUU ZITAWAJIA BAADAE.

1 comment:

  1. Duuuuh!!!!!!! rest in peace bro! sio siri tutakukumbuka milele NI GHETO LANGU TU, MIKASI, KIMYAKIMYA Duuuuuh! so sad!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    Da Priss

    ReplyDelete

Post Bottom Ad