HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 12, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA UJERUMAN ALIYEMALIZA MUDA WAKE NCHINI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Ujeruman nchini Tanzania, Klaus Peter Brandes, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo Juni 12, 2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake, nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Ujeruman nchini Tanzania, Klaus Peter Brandes, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo Juni 12, 2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake nchini. Picha na OMR.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad