HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 4, 2013

Mahandaki ya nguvu Masaki jijini Dar

 Kama umepita Masaki hivi sasa hasa pale karibu na njia ya kuelekea Sleepway ama hoteli ya Double Tree,basi ni lazima umekutana na mahandaki haya ambayo idadi yake haiehesabiki.kwani yamekuwa yakiongezeka kila kukicha huku wahusika wakiona na kujifanyama kama hayawahusu.sasa sijui ni kwanini wamekuwa wakiyachunia mahandaki haya??
 Kwa wale wenye magari kispoti hapa kazi wanayo.
Haya nimewawasilishia hii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad