Meneja masoko wa Heineken Tanzania,Caroline Kakwezi (kushoto) akimeana mkono na Mshindi wa timu ya Liverpool Foosball,Godfrey Musikula (kulia) wakati wakimzawadia mfano wa tiketi ya Ndege ya kwenda mjini Amsterdam mara baada ya kumalizika kwa mashindano hayo hapa nchini.Wengine pichani toka kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Heineken Tanzania,Uche Unigwe, Innocent Venance mmoja wa washindi wa michuano ya foosball kutoka team Liverpool, wadau wa Triniti bar & Restaurant Jackie na Erica.
Team Champions kutoka Samaki samaki na Team Liverpool Foosball wakichuana vikali katika fainali iliyodhaminiwa na Heineken Tanzania hivi karibuni jijini Dar es salaam.
Meneja kutoka Hyatt Regency - The Kilimanjaro,Timothy Mlay alishinda taulo pamoja na zawadi nyingine kutoka Heineken Tanzania baada yakupatia score ya mechi kati ya Dortmund na Bayern Munich hivi karibuni jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Heineken Tanzania,Uche Unigwe.
No comments:
Post a Comment