HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 15, 2013

HAPPYNESS WATIMANYWA NDIE MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI

Mshindi wa taji la Redds Miss Kanda ya Kati 2013, Happiness Watimanywa (Katikati) akiwa na nyuso ya furaha mara baada ya kamati ya majaji kumtangaza mshindi katika kinyanganyiro kilichoshirikisha walimbwendwe 12 kutoka Mikoa ya Dodoma, Singida, Tabora na Kigoma Wa Kwa Kwanza kulia Ni Mshindi wa Tatu Jackline huku Mshindi wa Pili ni  ( Wa kwanza Kushoto) Sabrina Juma Kutoka Mkoani Tabora
Jaji Mkuu wa Shindano la Kumsaka Mlimbwende wa Kanda ya Kati,Hashim Lundenga Akipungia mikono watanzania waliofika kushuhudia mlimbwende wa Kanda ya kati anapatikana
Mshiriki wa Kinyanganyiro Cha Redds Miss Kanda ya Kati Hawa Nyange akijitambulisha
 Mmoja wa Washiriki wa Kinyanganyiro Cha Kumtafuta Mlimbwende wa Kanda ya kati akijitambulisha mbele ya hadhara
 Muda wa Kuonyesha Vipaji ukawadia
 Mavazi ya Ubunifu
 Walimbwende walioingia hatua Ya Tano Bora
Mratibu na mwandaaji wa Redds Miss Kanda ya Kati akitoa Maneno huku pembeni yake ni Mgeni Rasmi (katikati) Mh John Komba akiwa na baadhi ya wabunge wenzake kutoka Zanzibar
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Amin akicheza na mmoja wa mashabiki wake ambaye alikua akiigiza kama Linah jana wakati wa shindano la kumtafuta Redds Miss Kanda ya Kati
Mmoja wa mashabiki wakimtunza Mwanamziki wa Kizazi kipya Amin wakati alipokuwa akitoa Burudani Jana katika Kinyanganyiro Cha Kumtafuta Mlimbwende wa Kanda ya Kati.Picha Na Josephat Lukaza Wa Lukaza Blog

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad