Baadhi ya viongozi na wananchi wa mkoa wa Rukwa na Mpanda wakimsindikiza kuapanda ndege msanii wa taarab na malkia wa mipasho Tanzania Khadija Omar kopa kwenye uwanja wa ndege wa mpanda baada ya kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf aliyefariki Dunia leo alfajiri kutokana na ugonjwa, Bi Khadija Kopa alikua akitokea kwenye Maadhimnisho ya siku ya Mazingira Duniani kitaifa yaliyoadhimishwa Namanyere Mkoani Rukwa jana.
Mkuu
wa mkoa Rukwa Eng. Stalla Manyanya (kushoto) akimfariji msanii na
taarab na malkia wa mipasho Tanzania,Khadija omar Kopa alipokua kwenye
chumba maalum cha kupumzikia wageni kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda
baada ya kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf
aliyefariki Dunia leoa alfajiri kutokana na ugonjwa, Bi Khadija Kopa
alikua akitokea kwenye maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani kitaifa
yaliyoaadhimishwa Namanyere Mkoani Rukwa jana.
No comments:
Post a Comment