HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 13, 2013

BIASHARA YA VITAFUNWA VYA CHAI YAZIDI SHIKA KASI ENEO LA POSTA MPYA

Kutokana na hali ngumu ya maisha wakina mama wamekuwa wakifanya biashara mbalimbali ya kujipatia kipato kama walivyokutwa na mpiga picha wetu maeneo ya posta mpya jijini Dar es salaam leo wakiwa wanauza vitafunwa kwa ajili ya chai.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad