Katika barabara mbali mbali hapa nchini hasa katika maeneo yale yenye madaraja,kumekuwa na vibao vya tahadhali kama hivyo kionekanacho pichani hapo,ili kufanya barabara zetu ziendelee kuwa imara.kibao hilo kipo katika barabara mpya ya kutoka Bagamoyo mpaka Msata.
No comments:
Post a Comment