HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 29, 2013

Safari Lager yafungua Mafunzo kwa Wajasiliamali wa Wezeshwa

 Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo akisisitiza jambo wakati wa kuzungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Ufunguzi wa Mafunzo ya Wajasiliamali waliofaulu kuingia kwenye Mpango wake wa  "Safari Lager Wezeshwa" yaliyoanza rasmi leo kwenye hoteli ya Golden Park,Sinza jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Jaji Mkuu wa zoezi zima la kutafuta Wajasiliamali wa Safari Lager Wezeshwa,Joseph Migunda.
 Mjasiliamani Dorris Vedasto akitoa pongezi zake kwa Safari Lager kwa kumfanikisha kuingia kwenye Mpango huo wa Safari Lager Wezeshwa.
 Mmoja wa Wajasiliamali walioingia kwenye mpango wa Safari Lager Wezeshwa,Jamhuri Arbogasti akionyesha moja ya bidhaa anazozitengeneza yeye mwenye.
 Baadhi ya Wajasiliamali waliofaulu kuingia kwenye mpango wa Safari Lager Wezeshwa wakiwa kwenye Mafunzo hayo yaliyoanza rasmi leo jijini Dar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad