Hii hali nimekutana nayo ghafla wakati naenda kanisani asubuhi, hali ndivyo ilivyo katika kijiji cha Ujuni wilayani makete baada ya fuso hiyo kukwama kutokana na ubovu wa barabara eneo hili, jitihada za kuitoa fuso hiyo zilikuwa zinaendelea hadi naondoka hali ilikuwa bado tete, fuzo ilikuwa imekwama
Mmoja wa wahusika wa Gari hilo akihangaika namna ya kuinasua kwenye tope lori hilo.
No comments:
Post a Comment