HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 19, 2013

Mtoto mwenye Mtoto akiwa mtaani kujitafutia chochote

Mtoto wa mtaani ambaye jina lake halikuweza fahamika mara moja,amekutwa na Kamera mani wa Mtaa kwa Mtaa Blog akiwa anaomba fedha kwa watu wapitao kwenye magari,huku akiwa amembeba mtoto mwenzie katika ya barabara ya Bibi titi mohamendi jijini Dar Es Salaam bila kuhofia usalama wa maisha yeke na hata huyo aliembema.hata hivyo tatizo la watoto wanaoishi katika mazingira magumu bado ni taizo sugu hapa nchini licha ya serikali kujipanga kulitokomeza tatizo hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad