Kamera ya Mtaa kwa Mtaa Blog,imebahatika kuipata taswira ya mti wa ajabu ulioota kwenye chem chem ya kisasa yenye maji mengi huku ukiwa umekauka ukitofautisha na miti mingine ambayo ikipata maji hata kidogo tu,hustawi na kupendeza kwa rangi ya ukijani.Mti huu upo katika moja ya Mitaa ya Mikocheni A,pembeni ya barabara kuu itokayo makao makuu ya kampuni ya simu za mikononi ya Zantel kuelekea Maeneo ya Victoria,jijini Dar.
Mtaa kwa Mtaa Blog bao unaendelea kufanya utafiti ili kubaini mti huo ni wa aina gani na unazaa matunda gani.
Safi sana huu ni mti wa pekee duniani na unapatikana TZ tu
ReplyDelete