Pichani ni Jamaa ambaye jina lake halikufahamika mara moja,ambaye shughuli yake ni biashara ya Chupa za Plastic za maji ya kunywa zilizotumika,akizisaka Chupa hizo kwenye Dampo la kisasa lilipo maeneo ya Kijitonyama jijini Dar es Salaam.Biashara ya Chupa hizo imekuwa ni maarufu sana hapa mjini kiasi kwamba haya yule ambaye alikuwa hana shughuli ya kufanya,huingia katika biashara hii na kujipatia mikwanja yake kiulaini.
Thursday, May 30, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment