| Kazi ya kulaza mabomba ikiendelea. |
| Mafundi vijana wakitanzania wakiongozwa na mafundi wa kigeni kutoka China ndio walioonekana wakifanya kazi hiyo. |
| Tukae mkao wa kunywa kazi inaonekana! |
| Kufanikiwa kwa mradi huu kutaweza kupunguza ama kuondoa kabisa kero ya maji kwa jiji la Dar. |

No comments:
Post a Comment