Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Naibu Waziri wa mambo ya Ndani wa China (DEputy Minister for Pubilic Security), Bw. Yang Huanning kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam May 28, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la ujenzi wa kiwanda cha saruji cha DANGOTE kilichopo katika kijiji cha Hiyari Mtwara May 27,2013. Kushoto kwake ni mmiliki wa kiwanda hicho, Alhaji Aliko Dangote.
No comments:
Post a Comment