
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji mjane wa marehemu Ally Sykes, Zainab Ally, wakati alipofika kuhani msiba huo wa mwasisi wa TANU, aliyefariki jana jijini Nairobi. Marehemu Sykes anazikwa leo jioni jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa marehemu Ally
Sykes, wakati alipofika kuhani msiba huo wa mwasisi wa TANU, aliyefariki
jana jijini Nairobi. Marehemu Sykes anazikwa leo jioni jijini Dar es
Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiaga na baadhi ya wazee waliohudhuria shughuli za msiba, wakati
alipokuwa akiondoka baada ya kuhani msiba wa mwasisi wa TANU, Ally
Sykes, aliyefariki jana jijini Nairobi. Marehemu Sykes anatarajiwa
kuzikwa leo jioni jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment