Eti kwa wale wenye utaalam wa mambo ya usalama Barabarani,ukiona kibao kimekaa namna hii huwa kinamaanisha nini??maana sie wengine mambo ya vibao vya namna hii huwa tunatoka kapa kila siku.Hiki kibao nimekiona pale Namanga,karibu kabisa na mataa ya st. Peter.
Wednesday, May 29, 2013

Home
Unlabelled
Kuuliza si Ujinga,maana mambo yenyewe yanabadilika kila simu
Kuuliza si Ujinga,maana mambo yenyewe yanabadilika kila simu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment