Sehemu ya Wakazi wa Vijiji vya njiani katika Barabara kuu itokayo Korogwe mpaka Same Mkoani Kilimanjaro,wakiwa katika zoezi la kupiga sop sop pamba zao kwenye chem chem ya maji kama walivyonaswa na Kameramani wetu.
Mama na wanawe wakitoka kupiga sop sop viwalo vyao pamoja na kuteka maji ya kutumia nyumbani.
Mashost wakipiga soga baada ya kukutana njiani wakati wengine wakielekea na wengine wakirejea kutoka kwenye chem chem hiyo.
Wakazi wengi wa kijiji hicho wengi huja hapa kwa ajili ya kujipatika mahitaji ya maji,ambayo hata hivyo upatikanaji wake hauko vizuri sana,kama unavyoonekana.
No comments:
Post a Comment