HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 29, 2013

Hata wazee wa Zamani,Walishasemaga Kazi na Dawaaaa...........

 Dereva wa Boda boda akiwa kauchapa usingizi kisawasawa baada ya kushindwa kuendelea na safari yake,sasa ghafla ndio umekuna na haraka zako na kumkodi huyu akuwahisha mahali.unategemea nini kitakuwa kikindelea hapo???
Mpita njia akimdekshia Dereva huyo wa Boda Boda ambaye aliamua kuweka kambi kwa muda kando ya Barabara na kuuchapa usingizi kisawasawa.Kiukweli jamaa hawa ni wagumu sana kupumzika,yaani mchana yupo na usiku pia yupo,ukiuliza mjomba vipi,jibu lake ni tumetumwa mkwanja.

1 comment:

  1. hii inonesha ni kiasi gani jamaa yupo bise kikazi huyo ni mwanamme,kufanya kazi sana kulala kidogo.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad