HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 2, 2013

Francis Cheka ni Moto wa Kuotea Mbali,amtoa Thomas Mashali kwa KNOCKOUT

Bondia Fransic Cheka (kushoto) akipambana na Bondia mwenzake,Thomas Mashali wakati wa mpambano wao uliofanyika jana ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam. Cheka alishinda kwa KNOCKOUT raundi ya kumi.
Bondia Fransic Cheka (kushoto) akimshambulia kwa makonde ya nguvu Thomas Mshali wakati wa mpambano wao uliofanyika jana ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam. Cheka alishinda kwa KNOCKOUT raundi ya kumi.
Bondia Thomas Mashali (kushoto) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Fransic Cheka katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam jana.


Shomari kimbau akiwa na Cheka baada ya kumvisha ubingwa wa IBF Africa aliokuwa akiutetea
Kutoka kushoto ni Kocha wa mchezo wa ngumi Kimataifa Rajabu Mhamila 'Super D' mdau ambaye ajajulikana jina Mtayalishaji wa mpambano kati ya Fransic Cheka Vs Thomasi Mashali,Adamu Tanaka 'Tunaluza' na MC wa mpambano huo COOL.Picha na Super D Blog

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad